TANZANIA, UAE ZASAINI MAKUBALIANO KUIMARISHA USHIRIKIANO
Serikali ya Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (U.A.E), zimesaini Makubaliano ya Tume ya Kudumu ya Pamoja katika nyanja za forodha, elimu, kilimo, nishati, mawasiliano, ulinzi na usalama. Makubaliano hayo yamesainiwa na Waziri…