News and Events
WAZIRI MAKAMBA AWASILI NCHINI UHOLANZI KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Yusuf Makamba (Mb.) amewasili Jijini The Hague, Uholanzi kwa ziara ya kikazi ya siku tatu (3) kuanzia tarehe 13 - 15 Novemba 2023. Pamoja na mambo mengine,…
RAIS SAMIA APONGEZA UAMUZI WA SADC KUPELEKA MISHENI YA ULINZI WA AMANI NCHINI DRC
Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wameazimia kupeleka Misheni ya Ulinzi wa Amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (SAMIDRC) kushughulikia masuala muhimu yanayoathiri utulivu na…
SADC MGUU SAWA KUPELEKA MISHENI YA ULINZI WA AMANI NCHINI DRC
Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wameazimia kupeleka Misheni ya Ulinzi wa Amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (SAMIDRC) kushughulikia masuala muhimu yanayoathiri utulivu na…
RAIS WA UJERUMANI FRANK-WALTER STEINMEIER ATAMBELEA KIWANDA CHA TWIGA CEMENT CHA JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani Mheshimiwa Frank-Walter Steinmeier ametembelea kiwanda cha kuzalisha saruji cha Twiga (Twiga Cement) kilichopo Tegeta jijini Dar es Salaam. Rais Frank-Walter Steinmeier amepata fursa…
TANZANIA – UJERUMANI KUJIKITA ZAIDI KATIKA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani zimeeleza dhamira yao ya kujikita zaidi katika kuendeleza na kukuza ushirikiano wa kijamii na kiuchumi kwa maendeleo ya pande zote mbili.Hayo yamebainishwa…
RAIS WA UJERUMANI MHESHIMIWA FRANK-WALTER STAINMEIER AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI
Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Mheshimiwa Frank-Walter Steinmeier amewasili nchini leo tarehe 30 Oktoba 2023 kwa ziara ya kikazi ya siku tatu (3) kuanzia tarehe 30 Oktoba hadi 1 Novemba 2023, na kupokelewa na Waziri wa…