Balozi Mahiga Ala Kiapo cha Utii Bunge la Afrika Mashariki
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) akila kiapo mbele ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki, akiwa kama Waziri anayehusika na Shughuli za Ushirikiano wa Afrika…