MIRADI NANE YA KIPAUMBELE YAWASILISHWA TICAD8
Serikali ya Tanzania imewasilisha miradi nane ya kipaumbele yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 1.334 katika Mkutano wa Nane wa Kimataifa wa Wakuu wa Nchi na Serikali unaohusu Maendeleo ya Japan na Afrika (TICAD8) uliohitimishwa…