WAZIRI KOMBO AZUNGUMZA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Mhe. Elias Magosi pembezoni mwa Kikao cha 46…