MAKAMU WA RAIS AMUWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE HAFLA YA UWEKAJI JIWE LA MSINGI LA UKARABATI MKUBWA WA RELI YA TAZARA.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Novemba 20, 2025 amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi…