Rais wa Vietnam awasili Nchini kuanza Ziara ya Kwanza ya Kitaifa
Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Truong Tang San (kushoto) pamoja na mkewe Mama Mai Thi Hann wakipunga mkono mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere kwa ajili ya kuanza…