TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Dkt, Mahiga afungua Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania, Israel Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga amezindua rasmi ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Israel…
TAARIFA KWA VYOMBO HABARI Waziri Mahiga kuzuru Israel Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) atafanya ziara ya kikazi nchini Israel kuanzia tarehe 07 hadi 10 Mei 2018. Ziara…
Mkutano wa 8 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Fedha na Uchumi la Jumuiya ya Afrika Mashariki wafikia tamati jijini Arusha Mkutano huu uliofanyika kuanzia Aprili 28 hadi Mei 5, 2018, kabla ya kuhitimishwa ulitanguliwa na mikutano…