Maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa EAC yaanza jijini Arusha
Bw. Stephen Mbundi, Mkurugenzi wa Idara ya Siasa, Ulinzi na Usalama katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiongoza Ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa majadiliano kwa ngazi ya Watalaam wa Jumuiya…