Waziri Mahiga aongoza kikao cha maandalizi ya uwasilishaji wa hotuba ya bajeti ya Wizara
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga leo ameongoza kikao cha maandalizi ya uwasilishaji wa hotuba ya bajeti ya Wizara.Hotuba hiyo inatarajiwa kuwasilishwa Bungeni hapo kesho tarehe…