WAZIRI KOMBO AWASILI NCHINI ZIMBABWE KUHUÐHURIA MKUTANO WA DHARURA WA SADC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe .Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasili Harare, Zimbabwe, tarehe 16 Novemba, 2024 kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC)…