NAIBU KATIBU MKUU MAMBIO YA NJE ATOA SALAMU ZA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU DKT. SHOGO
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Said Shaib Mussa ameungana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama kutoa salamu za pole kwa familia ya aliyekuwa Mbunge wa…