UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS AND EAST AFRICAN COOPERATION Tender No. ME- 013/2021- 2022/HQ/W/01 For PROPOSED CONSTRUCTION OF CHANCERY AND INVESTMENT BUILDING FOR THE TANZANIA EMBASSY IN KINSHASA,…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb) akiongoza waombolezaji katika kuaga mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasi ya Uchumi katika Wizara ya Mambo ya Nje na…
Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Anisa K. Mbega amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa India, Mhe. Ram Nath Kovind , Ikulu (Rashtrapati Bhavan), mjini New Delhi leo tarehe 16 Februari 2022. Baada ya kuwasilisha Hati hizo,…
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES Tanzania is among 42 countries implementing a mutually agreed instrument voluntarily acceded to by someMember States of the African Union (AU) as a self-monitoring mechanism. Thegoal of the Mechanism is to…
Mkutano wa 15 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Nishati la Jumuiya ya Afrika Mashariki umefunguliwa leo tarehe 8 Februari 2022 jijini Arusha, Tanzania katika ngazi ya Wataalamu. Mkutano huu utafanyika katika ngazi tatu ambapo…
Maafisa Waandamizi kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakiongozwa na Mkuu wa Kurugenzi ya Intelijensia Makao Makuu ya Jeshi, Maj. Gen. Ramadhani Mrangira pamoja na Col. Abdallah Khalfan wametembelea Ubalozi wa…