Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo kuwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa mwaka wa Fedha 2025/2026 tarehe 28 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Sera ya Mambo ya Mje ya Mwaka 2001, Toleo la Mwaka 2024 katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti…
Rais wa Jamhuri ya Finland, Mhe. Alexander Stubb amesema Serikali ya Finland itaendelea kuimarisha ushirikiano na Tanzania ili kuhakikisha juhudi za pamoja zinatekelezwa katika usimamizi wa amani na usuluhishi wa migogoro Barani Afrika…
TANZANIA NA FINLAND ZAKUBALIANA KUONGEZA WIGO WA USHIRIKIANOJamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Finland zimekubaliana kuanzisha maeneo mapya ya ushirikiano huku kipaombele kikiwekwa zaidi kwenye masuala ya maendeleo ya kiuchumi…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mjumbe maalum, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili jijini Kampala Uganda na kupokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Uganda Mhe. Maj. Gen. Poul K Simuli katika Uwanja…