Ujumbe wa Libya wakutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Palamagamba Kabudi
Tanzania na Serikali ya Umoja ya Libya, zimekubaliana kuingia katika mazungumzo ya kina yenye lengo la kupitia miradi yote na uwekezaji, iliyokuwa ikifanywa na Serikali ya Libya hapa nchini kabla ya machafuko nchini humo na pia…