SADC YAZINDUA KITUO CHA UGAIDI DAR ES SALAAM
Nchi wanachama za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimeishukuru Tanzania kwa kujitolea kuwa Mwenyeji wa Kituo cha Kikanda cha Kupambana na Ugaidi ambacho kimezinduliwa rasmi tarehe 28 Februari 2022 jijini Dar Es Salaam.…