Balozi wa Tanzania na Mkuu wa Itifaki wa Kuwait wakutana
Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Itifaki wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Kuwait, Mhe. Balozi Dhari Ajran Al-Ajran alipomtembelea Ofisini kwake kwa ajili ya kumshukuru…