Dkt. Ndumbaro akutana na Mwakilishi wa UNHCR
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro (Mb.), amekuatana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la kutetea wakimbizi la Umoja wa Mataifa Tanzania UNHCR, Chansa Kapaya. …