NAIBU WAZIRI LONDO AWAPONGEZA NJE – SPORTS KWA KUFANYA VIZURI SHIMIWI
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. Denis Londo amewapongeza wanamichezo wa timu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (Nje - Sports),…