Waandishi Waendesha Ofisi 16 mafunzoni Mjini Morogoro
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imefanikiwa kupeleka waandishi waendesha Ofisi 16 kwenye mafunzo ya matumizi fasaha ya Kiswahili Sanifu, yanayoendeshwa na Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA). Mafunzo hayo…