BALOZI MBEGA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO, INDIA
Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Anisa K. Mbega amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa India, Mhe. Ram Nath Kovind , Ikulu (Rashtrapati Bhavan), mjini New Delhi leo tarehe 16 Februari 2022. Baada ya kuwasilisha Hati hizo,…