News and Events
TANZANIA YAKABIDHIWA UENYEKITI WA SADC ORGAN TROIKA
Mkutano wa Kawaida wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) leo tarehe 17 Agosti, 2024 umekabidhi jukumu la Unyekiti wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo…
ZAMBIA YAIHAKIKISHIA TANZANIA USHIRIKIANO KATIKA UONGOZI WA SADC ORGAN TROIKA
Rais wa Jamhuri ya Zambia, Mhe. Hakainde Hichilema ameihakikishia ushirikiano Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati huu inapotarajia kukabidhiwa jukumu la uenyekiti wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (SADC…
PROF. MKENDA AFUNGA MKUTANO WA ELIMU WA EAC JIJINI ARUSHA.
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda amefunga rasmi Mkutano wa kwanza wa Elimu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Maadhimisho ya mwaka wa elimu wa Umoja Afrika uliofanyika jijini Arusha.Akizungumza katika hafla…
NAIBU WAZIRI CHUMI AFUNGUA KONGAMANO LA KISWAHILI
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Cosato Chumi (Mb.) amefungua Kongamano la Kimataifa la Kiswahili lililoandaliwa na Chama cha Kiswahili Afrika Mashariki (CHAKAMA) linalofanyika katika Chuo Kikuu…
NAIBU WAZIRI LONDO AMTEMBELEA KATIBU MKUU JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki Mhe. Dennis Londo (Mb) ametembelea Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Masharki (EAC) Mhe. Monica Nduva Ofisini kwake tarehe 13…
WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA BADEA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amefanya mazungumzo na Rais wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA), Dkt. Sidi Ould Tah jijini Harare , Zimbabwe tarehe…
Waziri wa Mamlaka ya Forodha wa China Awasii Nchini
Waziri wa Mamlaka ya Forodha wa China Awasii Nchini kwa Ziara ya Kikazi.Waziri wa Mamlaka ya Forodha ya China, Mhe. Yu Jianhua amewasili nchini leo Agosti 13, 2024 kwa ziara ya kikazi ya Siku tatu.Alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege…