Taarifa ya Serikali Kuhusu Taarifa za Kuteswa kwa Watanzania Wanaokwenda Kufanya Kazi Oman na Nyingi
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inachukua fursa hii leo kupeleka taarifa kwa Umma kupitia vyombo vya habari juu ya habari zilizochapishwa katika gazeti moja kuhusu mateso wanayopata Watanzania wanaofanya kazi…