BALOZI FATMA AFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE WA WATAALAM WA UMOJA WA AFRIKA
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Fatma Rajab leo terehe 11 Oktoba 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Wataalam wa Umoja wa Afrika wa Kutathimini utekelezaji wa Agenda…