WAJASIRIAMALI WAASWA KUONGEZA UBUNIFU, UBORA WA BIDHAA
Wajasiriamali Wadogo na wa kati wamehimizwa kuendelea kuongeza ubunifu na ubora wa huduma na bidhaa wanazozalisha ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya ushindani katika soko la Jumuiya ya Afrika Mashariki na Eneo Huru la Biashara Barani…
AFRIKA MASHARIKI WAHIMIZWA KUTUMIA BIDHAA ZA NDANI
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma ametoa wito kwa wananchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kujivunia na kutumia bidhaa zinazozalishwa katika Jumuiya ili…
ZAIDI YA WAJASIRIAMALI 300 WASHIRIKI MAONESHO YA JUAKALI UGANDA
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikisha ushiriki wa Wajasiriamali zaidi ya 300 katika maonesho ya 22 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya Wajasiriamali Wadogo na Wakati maarufu Juakali yanayofanyika katika viwanja vya…
RAIS SAMIA AWATAKA MABALOZI KUENDANA NA MABADILIKO YA DUNIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka mabalozi wa Tanzania Nje ya Nchi kuendana na mabadiliko ya dunia katika utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi ili ilete tija zaidi kwa Taifa.Rais Samia ametoa…
MABALOZI WATEMBELEA BANDARI YA MALINDI
Mabalozi wa Tanzania wanaoshiriki Mkutano wa Mabalozi unaofanyika mjini Zanzibar wametembelea bandari ya Malindi leo tarehe 17 Novemba 2022 na kujionea jinsi bandari hiyo inavyofanya kazi.Mabalozi hao pia wametembelea eneo la Mangapwani…
DKT. MWINYI: MABALOZI JENGENI UHUSIANO MZURI NA SEKTA ZA UMMA, BINAFSI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje kujenga uhusiano wa karibu na Taasisi za Umma na Binafsi za pande zote mbili za Jamhuri ya Muungano…
WIZARA KUSHIRIKIANA NA SMZ KUTEKELEZA AGENDA ZA KIKANDA, KIMATAIFA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax amesema Wizara anayoiongoza itaendelea kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika kuhakikisha agenda mbalimbali za kikanda na kimataifa…