WASANII WA TANZANIA NA KOREA KUCHEZA FILAMU KWA PAMOJA
Sekta ya Filamu nchini Jamhuri ya Korea imeahidi kushirikiana na sekta ya filamu nchini Tanzania ili iweze kuzalisha filamu zenye viwango vya Kimataifa zitakazovutia watu wengi zaidi duniani.Ahadi hiyo imetolewa na Rais wa Umoja wa…