TANZANIA, CUBA KUIMARISHA SEKTA ZA KIPAUMBELE
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Cuba zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa maendeleo katika sekta za kipaumbele ambazo ni elimu, afya, kilimo na utalii.Makubaliano hayo yameafikiwa wakati Makamu wa Rais…