MAAFISA MAMBO YA NJE WAFAIDIKA NA UZOEFU WA MABALOZI WASTAAFU
Mafunzo ya siku tano kuhusu mawasiliano ya Kidiplomasia kwa watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki yamehitimishwa jijini Dodoma Novemba 15, 2024, huku watumishi wakitakiwa kutumia ujuzi waliopata kutoka…