KONGAMANO LA PILI LA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA ITALIA KUFANYIKA ZANZIBAR
Balozi wa Tanzania nchini Italia, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amesema takribani wawakilishi wa Kampuni 1,000 za nchini Italia wamethibitisha kushiriki kwenye Kongamano la Pili la Biashara na Uwekezaji linalotarajiwa kufunguliwa rasmi…