TANZANIA YAJIVUNIA USHIRIKIANO IMARA NA UMOJA WA ULAYA
Serikali imesema inajivunia uhusiano na ushirikiano imara baina yake na Umoja wa Ulaya (EU) ambapo mpaka sasa zaidi ya kampuni 100 za nchi wanachama wa umoja huo zimewekeza Tanzania. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika…