Tanzania na Uganda zajadili Kuboresha Sekta ya Uchukuzi
Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Dkt Aziz P. Mlima akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganda Mheshimiwa Mhandisi Monica Ntega mjini Kampala ambapo walizungumzia changamoto na fursa zilizopo…