TANZANIA NA CHINA ZAZUNGUMZIA UTEKELEZAJI WA USHIRIKIANO WA MAENEO 10 YA MKUTANO WA FOCAC
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ipo katika mazungumzo ya utekelezaji wa maeneo 10 ya ushirikiano kati ya China na Afrika, Tanzania ikiwemo kama ilivyoahidiwa na Mheshimiwa Xi Jinping, Rais wa Jamhuri ya Watu wa China katika…