Resources
WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA ATUA NCHINI KWA ZIARA YA KITAIFA YA SIKU TATU
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia, Mhe. Dkt. Abiy Ahmed Ali amewasili nchini leo tarehe 29 Februari 2024 kuanza ziara yake ya kitaifa ya siku tatu.Mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa…
WAZIRI MAKAMBA; DUNIA INAHITAJI MFUMO MPYA WA MAAMUZI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba (Mb), ameieleza Jumuiya ya Kimataifa kuhusu umuhimu wa kuwa na mifumo mipya ya kimataifa itakayo zingatia haki na usawa katika kufanya maamuzi hasa kwa…
TANZANIA – PANAMA KUANZISHA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI
Tanzania na Panama zimefungua mlango wa majadiliano wa kuanzisha ushirikiano katika sekta mbalimbali za uchumi kwa maslahi mapana ya pande zote mbili. Miongoni mwa sekta zinazoangaziwa kwenye ushirikiano huo ni pamoja na utalii, biashara…
WAZIRI MAKAMBA KUENDELEA KUIPAISHA DIPLOMASIA YA UCHUMI KATIKA MKUTANO WA RAISINA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Mheshimiwa January Makamba (Mb), anatarajiwa kushiriki katika Mkutano wa 9 wa RAISINA (9TH RAISINA Dialogue) unaotarajiwa kufanyika nchini India kuanzia Februari…
RAIS SAMIA AWATAKA DIASPORA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUITANGAZA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amehamasisha Watanzania wanaoishi nje ya nchi yaa Diaspora kuunga mkono jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali katika kuitangaza nchi kwenye maeneo waliyopo…