Skip to main content
News and Events

ZOEZI LA KUPIMA UTAYARI KUKABILI MAGONJWA YA MLIPUKO MIPAKANI LA ZINDULIWA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalim (katikati), Waziri wa Viwanda wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Adan Abdulla Mohammed pamoja na Mhe. Cristophe Bazivambo kwa pamoja wakionyesha vitabu vinavyoelezea Umuhimu wakufungua zoezi la Kupima Utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani. Uzinduzi huo umefanyika Namanga Mpakani mwa Tanzania na Kenya tarehe 11 Juni, 2019  

  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akiwa amesimama mbele ya magari yanayotarajiwa kutumiwa na viongozi na Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kujiridhisha juu ya matayarisho ya mapokezi kwa ajili ya mkutano huo utakaofanyika Dar es Salaam,Tanzania. August 8, 2019.
  • Wageni walio hudhuria ufunguzi wa zoezi hiloWageni walio hudhuria ufunguzi wa zoezi hilo
  • Mhe. Mwalim, Mhe. Mohammed pamoja na Mhe. Ulega wakitiza na kupata maelezo kutoka kwa mtaalamu wa kukabiliana na Magonjwa ya MlipukoMhe. Mwalim, Mhe. Mohammed pamoja na Mhe. Ulega wakitiza na kupata maelezo kutoka kwa mtaalamu wa kukabiliana na Magonjwa ya Mlipuko
  • Mawaziri hao walitembelea vituo vya Kutolea Huduma kwa pamoja (OSBP) vilivyopo Namanga mpakani mwa Tanzania na Kenya.Mawaziri hao walitembelea vituo vya Kutolea Huduma kwa pamoja (OSBP) vilivyopo Namanga mpakani mwa Tanzania na Kenya.
  • Mawaziri pamoja na viongozi mbalimbali wakipata maelezo ya namna vituo hivyo vimejipanga kupambana na Magonjwa ya mlipuko, walipotembelea vituo vya Kutolea Huduma kwa pamoja (OSBP) vilivyopo Namanga mpakani mwa Tanzania na Kenya.Mawaziri pamoja na viongozi mbalimbali wakipata maelezo ya namna vituo hivyo vimejipanga kupambana na Magonjwa ya mlipuko, walipotembelea vituo vya Kutolea Huduma kwa pamoja (OSBP) vilivyopo Namanga mpakani mwa Tanzania na Kenya.