Resources » News and Events

Waziri Mwijage awa Mgeni rasmi maadhimisho ya Taifa la Uturuki.

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Bw. Charles Mwijage(Mb.), akihutubia kwenye hafla ya maadhimisho ya Taifa la Uturuki, katika hotuba yake Mhe. Mwijage aliishukuru Uturuki kwa kuendelea kuwa mshirika mkubwa wa jitihada za Serikali ya awamu ya tano chini ya Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ya kuwaletea Watanzania maendeleo. Maadhimisho hayo yalifanyika katika makazi ya Balozi wa Uturuki jijini Dar Es Salaam