Waziri Mahiga atembelea maonesho ya 42 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba)

Mhe. Mahiga akiangalia bidhaa za mjasiriamali anayeshiriki maonesho ya sabasaba alipotembelea banda lake

Waziri Mahiga atembelea maonesho ya 42 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba)

  • Mhe. Mahiga akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Africafe alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya sabasaba