Resources » News and Events

Waziri Mahiga amkaribisha rasmi Wizarani Katibu Mkuu mpya Prof.Mkenda

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Watumishi wa Wizara (hawapo pichani) wakati wa kikao rasmi cha kumkaribisha Katibu Mkuu mpya wa Wizara Prof. Adolf Mkenda (kulia). Kikao hicho kilifanyika hivi karibuni katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu, Bw. Hamid Mbegu.

Waziri Mahiga amkaribisha rasmi Wizarani Katibu Mkuu mpya Prof.Mkenda

  • Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Adolf Mkenda akiwasalimia Watumishi wa Wizara (hawapo pichani) mara baada ya kukaribishwa rasmi Wizarani.
  • Watumishi wa Wizara wakimsikiliza Katibu Mkuu (hayupo pichani)