Resources » News and Events

Waziri Mahiga akutana kwa pamoja na Balozi wa Uingereza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga (Mb.), akisalimiana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Inmi Patterson akiwa amefuatana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. Sarah Cooke mara walipomtembelea na kufanya nae mazungumzo kwenye Ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje zilizopo Jijini Dar es Salaam

Waziri Mahiga akutana kwa pamoja na Balozi wa Uingereza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini

  • Dkt. Mahiga akisalimiana na Mhe. Balozi Cooke.
  • Dkt. Mahiga akimsikiliza Mhe. Balozi Cooke alipokuwa akimweleza jambo wakati wa mazungumzo yao