Resources » News and Events

Waziri Mahiga Afungua Kongamano la Kwanza la Biashara Jamhuri ya Korea

Mheshimiwa Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akihutubia mamia ya wafanyabiashara waliofurika kwenye Ukumbi wa Hana kuhudhuria Kongamano la Kwanza la Biashara lililofanyika Mjini Seoul Jamhuri ya Korea tarehe 31 Januari, 2018.

Waziri Mahiga Afungua Kongamano la Kwanza la Biashara Jamhuri ya MheKorea

  • Bw. Geoffrey Mwambe, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania akitoa mada wakati wa Kongamano hilo lililofanyika Jijini Seoul Korea Kusini tarehe 31 Januari 2018
  • Mheshimiwa Matilda Masuka Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Jamhuri ya Korea akitoa neno la ukaribisho wakati wa Kongamano la Kwanza ambalo liliandaliwa na Ubalozi wa Tanzania.