Resources » News and Events

Waziri Mahiga afanya mazungumzo na Balozi wa Umoja wa nchi wa Falme za Kiarabu nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Balozi wa Umoja wa nchi wa Falme za Kiarabu nchini Tanzania Mhe. Balozi Abdulla Ibrahim Alsuwaidi walipokutana kwa mazungumzo Wizarani Jijini Dar es Salaam. Mazungumzo hayo yalikita katika kujadili masuala mbalimbali ya namna ya kudumisha na kukuza uhusiano baina ya pande mbili. (Tanzania na Umoja wa Nchi wa Falme za Kiarabu)

Waziri Mahiga afanya mazungumzo na Balozi wa Umoja wa nchi wa Falme za Kiarabu nchini

  • Waziri Mhe. Mahiga akimsikiliza Balozi wa Nchi wa Falme za Kiarabu nchini Mhe.Abdulla Ibrahim Alsuwaidi walipokutana kwa Mazungumzo Jijini Dar es Salaam
  • Waziri Mhe.Balozi Dkt.Mahiga na mgeni wake Mhe. Balozi Alsuwaidi wakifurahia jambo wakati walipokutana kwa mazungumzo Wizarani Jijini Dar es Salaam
  • Waziri Mhe. Balozi Dkt. Mahiga akifafanua jambo wakati wa mazunguzo