Resources » News and Events

Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje wahitimu mafunzo ya JKT

Mgeni Rasmi akisoma hotuba yake. Alitoa ushuhuda kuwa watumishi walioshiriki mafunzo hayo katika awamu ya kwanza wameonesha umahiri mkubwa katika kutekeleza majukumu yao na ndio sababu amepeleka kundi lingine katika awamu ya pili. Aliahidi atawapeleka watumishi wa Wizara yake wenye sifa ikiwemo ya umri (chini ya miaka 40) hatua kwa hatua hadi watakapomalizika.

Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje wahitimu mafunzo ya JKT

  • Wahitimu wa mafunzo ya JKT kutoka Wizara ya Mambo ya Nje wakila kiapo cha utii
  • Wahitimu wa mafunzo ya JKT wakisikiliza hotuba ya Mgeni Rasmi