Mhe.Balozi Modest J. Mero (katikati) Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa, akionesha medali aliyoipokea kutoka Umoja wa Mataifa kwa niaba ya Watanzania walioshiriki katika shughuli za ulinzi wa amani.
Umoja wa Mataifa wawatunukia Watanzania medali ya walinda amani
Muonekano wa medali
Mhe.Balozi Modest J. Mero (katikati) Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa akiwa katika picha mara baada ya kupokea medali