Resources » News and Events

Tanzania yajitwalia medali za dhahabu katika Tamasha la Michezo la Afrika Mashariki

Timu ya mpira wa miguu ya Wanawake ya Tanzania ikishangilia ushindi wa medali za dhahabu kufuatia ushindi wa goli 5-0 ilioupata dhidi ya Burundi katika Tamasha la Michezo la Afrika Mashariki Aidha, Tamasha la Michezo la Afrika Mashariki katika kipengele cha mpira wa miguu limekamilisha ratiba kwa mpambano kati ya Tanzania na Burundi, ambapo Tanzania imejishindia medali ya dhahabu kufuatia ushidi ilioupata. Burundi imejitwalia medali ya fedha kwa kushika nafasi ya pili katika mchezo huo. Katika mchezo wa awali Tanzania iliibuka na ushindi wa goli 8-1 dhidi ya wenyeji wa tamasha Burundi.

Tanzania yajitwalia medali za dhahabu katika Tamasha la Michezo la Afrika Mashariki