Resources » News and Events

Tanzania na Cuba kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Suzan Kolimba (Mb.) akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Cuba nchini Tanzania, Mhe. Prof. Lucas Domingo Hernandez Polledo,alipomtembelea leo katika ofisi za Wizara Jijini Dar es Salaam.

Tanzania na Cuba kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano

  • Mkutano ukiendelea
  • Dkt. Kolimba akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Cuba nchini Tanzania, Mhe.Prof. Polledo, wa pili kutoka kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Amerika na Ulaya Bi. Mary Matare, na wa kwanza kulia ni Afisa Mambo ya Nje, Bi. Lilian Kimaro na kushoto ni afisa wa Ubalozi wa Cuba hapa nchini.