Resources » News and Events

Tanzania kuendelea kuimarisha ushirikiano na Singapore

Kaimu Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi akizungumza na Balozi wa Singapore nchini mwenye makazi yake nchini Singapore, Mhe. Tan Puay Hiang alipomtembelea leo katika ofisi za Wizara Jijini Dar es Salaam. Mazungumzo yao yalijikita katika kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano pamoja na kuboresha mazingira ya uwekezaji na biashara ili kuweza kuinua uchumi wa mataifa hayo.

Tanzania kuendelea kuimarisha ushirikiano na Singapore