Resources » News and Events

SERIKALI YA BRAZIL IMETANGAZA RASMI KUFUNGUA MILANGO YA USHIRIKIANO WA KIFEDHA NA BIASHARA NA TANZAN

Balozi Mhe. Dkt. Emmanuel J. Nchimbi akisaini Mkataba kwaniaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Msamaha wa Deni la Tanzania kwa Serikali ya Brazil. Kwa upande wa Brazil mkataba huo ulisainiwa na Dkt. Sonia Nunes Wakili wa Serikali ya Brazil.

SERIKALI YA BRAZIL IMETANGAZA RASMI KUFUNGUA MILANGO YA USHIRIKIANO WA KIFEDHA NA BIASHARA NA TANZANIA

  • Balozi Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi akibadilishana mkataba huo na Dkt. Sonia Nunes ambaye ni Wakili wa Serikali ya Brazil mara baada ya kusaini mkataba wa msamaha wa deni
  • Balozi Mhe. Dkt. Emmanuel J Nchimbi pamoja na Mkuu wa Ujumbe wa Serikali ya Brazil Bw. Guilheme Laux (kulia kwa Balozi Nchimbi) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wapande zote mbili (Tanzania na Brazil)