Skip to main content
News and Events

RAIS WA KONGO (DRC) MHE. FELIX TSHISEKEDI AWASILI NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kabla ya kuelekea Ikulu kwaajili ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa. 

  • Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi akikabidhiwa Ua la ishara ya Upendo na kumkaribisha Nchini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam ambapo amepokelewa na mwenyeji wake RRais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi akikabidhiwa Ua la ishara ya Upendo na kumkaribisha Nchini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam ambapo amepokelewa na mwenyeji wake R
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kablRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kabl
  • Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi akikagua paredi maalumu aliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi (JWTZ) mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam ambapo amepokelewa na mwenyejiRais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi akikagua paredi maalumu aliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi (JWTZ) mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam ambapo amepokelewa na mwenyeji
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi wakati wakitazama kikundi cha ngoma wakati wa sherehe za kumkaribisha Rais wa Kongo katika Uwanja wa ndege waRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi wakati wakitazama kikundi cha ngoma wakati wa sherehe za kumkaribisha Rais wa Kongo katika Uwanja wa ndege wa
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi wakati wakiwapungia mikono wananchin waliojitokeza katika sherehe za kumkaribisha Rais wa Kongo katika UwanjaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi wakati wakiwapungia mikono wananchin waliojitokeza katika sherehe za kumkaribisha Rais wa Kongo katika Uwanja