PROF. KABUDI ZIARANI NCHINI CHINA

Wageni walio hudhuria ufunguzi wa zoezi hiloWageni walio hudhuria ufunguzi wa zoezi hilo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akiwasili katika Ubalozi wa Tanzania Nchini China na kupokelewa na Balozi wa Tanzania Nchini China Balozi Mbelwa Brighton Kairuki. June 23,2019.

  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akisaini kitabu cha wageni katika ubalozi wa Tanzania Nchini China. Mbele yake anayeshuhudia ni Balozi wa Tanzania Nchini China Balozi Mbelwa Brighton Kairuki. June 23Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akisaini kitabu cha wageni katika ubalozi wa Tanzania Nchini China. Mbele yake anayeshuhudia ni Balozi wa Tanzania Nchini China Balozi Mbelwa Brighton Kairuki. June 23
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akiwa katika kikao cha pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania Nchini China. June 23,2019.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akiwa katika kikao cha pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania Nchini China. June 23,2019.