Skip to main content
News and Events

Prof. Kabudi akutana na Naibu Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia masual

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi(Mb.),(kulia) akiwa katika mazungumzo na Naibu  Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia masuala ya Afrika  Mashariki na Sudan, Balozi Makila James, katika Ofisi ndogo za Wizara Dar es salaam leo tarehe 30 Aprili, 2019. 

  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi(Mb.), akimuonesha Naibu  Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia masuala ya Afrika  Mashariki na Sudan, Balozi Makila James (katikati) maeneoWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi(Mb.), akimuonesha Naibu Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki na Sudan, Balozi Makila James (katikati) maeneo
  • Rais wa Romania, Mhe. Klaus Iohannis akizungumza kwenye hafla ya chakula cha mchana iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu Zanzibar.Rais wa Romania, Mhe. Klaus Iohannis akizungumza kwenye hafla ya chakula cha mchana iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu Zanzibar.