Skip to main content
News and Events

Naibu Waziri akutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi

Naibu Waziri akutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi

  • Naibu Waziri Mhe.Dkt. Kolimba akiwa katika mazungumzo na Mabalozi wanaotarajia kwenda kuripoti kwenye vituo vyao vya uwakilishi hivi karibuni. Kulia ni Inspekta Jenerali mstaafu Mhe. Balozi Ernest Jumbe Mangu anayetarajiwa kwenda kuiwakilisha Tanzania Kigali, Rwanda hivi karibuni na kushoto ni Meja Jenerali Mstaafu Mhe. Balozi Mumwi Simoni anayekwenda kuiwalisha Tanzania Moscow,Urusi